MAFUNGO YA KIROHO KUPITIA MTANDAO

Majuma 34 ya Mafungo Katika Maisha ya Kawaida ya Kila Siku
Kazi ya kitume ya Ofisi ya Ushirikiano wa Kimisionari ya Chuo Kikuu cha Creighton, Marekani

Karibu Kufanya Mafungo Kupitia Mtandao

Ignatius

Karibu katika utambuzi wa Neema ya Mungu kati ya kazi na mishughuliko ya maisha yetu ya kila siku

Anza mafungo na Juma la 1,
wakati wowote,
kisha fuata mwongozo na yote utakayopewa kila juma.

Tafadhali mtumainie kikamilifu Mungu ambaye ana rehema na ukarimu visivyo na mipaka

Nitaanzaje Kufanya Mafungo Haya?


Africa Cross - by Stushie Art Africa Cross - by Stushie Art

Jinsi ya Kutumia Mtandao Huu Kufanya Mafungo |

Fire that Lights Other Fires

Ukipenda unaweza kuanzia na wiki ianzayo tarehe 15 Septemba 2019
Ukafanya Mafungo kufuata mwaka wa Kiliturjia wa Kanisa

Usaidizi wa Haraka wa Kutafuta Miongozo ya Kila Juma:
123456789101112131415 - 15a
161717a 18 – 19 - 20 - 21 – 22
23 – 24 – 25 – 26 – 27 – 28 – 29 – 30 – 31
32 – 33 – 34

Tree